KWA MWANAMKE MWENYE TATIZO LA KUSHINDWA KUBEBA UJAUZITO KWA MUDA MREFU.

Ndani ya Sekunde 60 zijazo, ninaenda Kukuonyesha...
JINSI LIGHTNESS ALIVYOWEZA KUBEBA UJAUZITO NDANI YA MIEZI 3 BAADA YA KUHANGAIKA KWA MIAKA 5 – NA NAMNA UNAVYOWEZA KUSHIKA UJAUZITO PIA!
Kupata mtoto haipaswi kuwa changamoto tena – Na Leo ndio mwanzo wa Safari mpya Katika Miasha yako.

Mpendwa Rafiki unaetamani Kupata mtoto,

Lightness ni Mwanamke kama wewe…

Kwa sababu ya kushindwa kubeba mimba kwa muda mrefu;

 

  • Alitengwa na Familia yake na kuanza kuitwa Mgumba.

 

  • Alipoteza kabisa Amani na Furaha ndani ya mahusiano yake kwa sababu ya presha na stress za kutafuta mtoto

 

  • Lightness alikuwa na sonona hatua ya 3 (Depression Stage 3) ambayo ni hatari zaidi kiafya, iliyomfanya ajione anaishi katika dunia iliyojaa mateso kila kona.

 

  • Alionekana kama laana au mkosi kwenye ukoo wake mwenywe

Kama ilivyo kwako sasa hivi, Lightness na yeye alikuwa na ndoto ya kupata mtoto, na kila siku alitamani sana kutimiza hilo. Lakini kila alichokuwa anajaribu kufanya, aliishia kupata maumivu na huzuni zaidi.

Kwa miaka mingi, Lightness alikuwa anasumbuliwa na:

  • Kutokwa na Damu nyingi sana wakati wa hedhi kuliko kawaida (Mabonge mabonge ya Hedhi)
  • Kukaa kwenye hedhi zaidi ya siku 7 akiwa na maumivu makali
  • Maumivu makali sana chini ya kitovu
  • Kukosa dalili yoyote ya ujauzito pamoja na kujaribu kwa muda mrefu

Kama watu wengine wanavyofanya ili kupata mtoto, Lightness na yeye alijaribu baadhi ya njia ili kupata hitaji la moyo wake;

  • Kutembelea vituo mbalimbali vya Afya kwa ajili ya kutafuta suluhuhu ya changamoto yake
  • Alibadili mpaka lifestyle yake na kupunguza kutumia baadhi ya vyakula
  • Wakati mwingine alijaribu mpaka kutembelea wataalamu (Waganga wa Jadi) – Lakini hakuna kilichobadilika kwake!

Siku moja, akiwa nyumbani kwake Iringa, alifungua radio na kukuta mmoja wa Matabibu wetu anafanya mahojiano na akasikia shuhuda za baadhi ya wanawake waliokuwa na changamoto kama yake wakitoa shuhuda ya kupona kabisa baada ya kutembelea ofisi zetu na kuanza matibabu. Kwa sababu alikuwa na safari ya kwenda Dar es salaam, akaweka adhimio la kufika ofisini kwetu mara tu atakapofika.

Hapo ndio kila kitu kilipoanza kubadilika…

Bila kusita, alipofika Dar es salaam, Lightness alifanya uamuzi wa kufika ofisini kwetu.

Kama ilivyo kwa kila mtu anaefika Lupimo Sanitarium Clinic, alipokelewa vizuri, akasikilizwa na kupewa ushauri, na kuanza safari yake ya matibabu.

Baada ya kutumia Dawa ndani ya week moja tu, mateso yote ya hedhi yalikoma! Akaanza kupata hedhi yake kama kawaida bila kupata maumivu kama aliyopata awali. Na baada ya mwezi 1, hiki ndicho kilichotokea…

Lightenss hakuona Siku zake!

Kwa mara ya Kwanza, Lightness alikuwa na wasiwasi, kwa sababu alipitia hali ambayo hakuwahi kuipitia kabisa katika Maisha yake.

Akafanya uamuzi wa kurudi tena ili kufahamu nini kinaendelea. Alipokelewa tena na kusikilizwa, na kupewa tena dozi nyingine ya dawa ili kuendelea kutumia.

Baada ya Miezi 3, Lightness alipiga simu tena na mara hii akiwa na Furaha kubwa mno! Katika Mazungumzo yetu Alisema…

Doctor nimepima tena na vipimo vinaonyesha nina ujauzito!

Baada ya miaka mingi ya mateso, kejeli, na huzuni, Lightness alikuwa katika Furaha kubwa sana ya kupata ujauzito na aliiona safari mpya ya kuitwa Mama – Hali aliyoitamani kwa muda mrefu saaana!

Msikilize Lightness akizungumza hapa…

Nini kilisababisha Lightness Kupata matokeo yaliyobadili Maisha yake ndani ya Muda mfupi tu?

Jibu ni rahisi tu. 

Lightness baada ya kufika Lupimo clinic, alipata package maalumu ya dawa iitwayo FIWEMU Herbs.

Dawa hii imewasaidia wanawake wengi ndani na nje ya Tanzania na husaidia;

    1. Kuondoa Tatizo la ugumba kwa mwanamke kutokana na;

  • Kuwa na Uvimbe maji kwenye Kiwanda cha mayai (Ovarian Cysts)
  • Kushindwa kupevusha mayai kwa wakati
  • Homoni za uzazi kutolingana
  • Mirija ya uzazi kuziba

      2. Kuzuia Mimba isiharibike kwa mwanamke mwenye tatizo la kuharibikiwa mimba mfululizo

      3. Kupunguza maumivu makali wakati wa hedhi

Habari Njema kwako ni kwamba…

Dawa hii imesajiliwa na Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala chini ya Wizara ya Afya, kuwa inafaa kwa matumizi ya Binadamu kwa namba ya usajili TZ17TM0014.

Sasa kabla ya kufikiri na kudhani labda Matokeo ya Lightness sio ya kweli, hebu angalia na kusikiliza…

Hawa ni baadhi ya wanawake wengine waliofika Lupimo Sanitarium Clinic na matokeo mazuuri waliyoyapata…

Kama unatamani kuanza kupata matokeo kama Lightness au wanawake wengine uliowasikiliza hapo, basi hauna budi kufanya uamuzi wa haraka bila kupoteza muda zaidi!

Ukifanya maamuzi sasa hivi utapata…

PACKAGE YA FIWEMU HERBS: Suluhisho la Maumivu wakati wa Hedhi, Uvimbe kwenye kizazi na Changamoto ya kushindwa kubeba Ujauzito.

Kama nilivyosema awali, dawa hii imetengenezwa na kusajiliwa na Baraza la Tiba Asili na Tiba mbadala chini ya wizara ya Afya ili kukusaidia;

  1. Kuondoa Tatizo la ugumba kwa mwanamke kutokana na;
  • Kuwa na Uvimbe maji kwenye Kiwanda cha mayai (Ovarian Cysts)
  • Kushindwa kupevusha mayai kwa wakati
  • Homoni za uzazi kutolingana
  • Mirija ya uzazi kuziba
  1. Kuzuia Mimba isiharibike kwa mwanamke mwenye tatizo la kuharibikiwa mimba mfululizo

       3. Kupunguza maumivu makali wakati wa hedhi

Ni tofauti kabisa na dawa zote ulizowahi kutumia kwa sababu inajumuisha virutubisho muhimu vya asili vitakavyosaidia kupona haraka bila kuwa na madhara yoyote mwilini (Side Effects).

Huu ndio mjumuisho wa kila kitu utakachopata;

  • Fomula 3 Muhimu kwa ajili ya kuleta uhai kwenye Mfumo wako wa uzazi – Ni formula hii hii ambayo Lightness na wanawake wengine wengi tuliowasaidia wameitumia na kufanikiwa kupata Watoto.

 

  • Mchanganyiko maalumu wa Virutubisho tiba vinavyosaidia kuboresha mzunguko wa hedhi na kupunguza maumivu!

 

  • Elimu sahihi itakayokusaidia kutambua sababu zinazoharibu uwezo wako wa kupata Watoto – Na nini unapaswa kufanya ili kuondoa kabisa vikwazo hivyo!

 

  • Makosa 3 yaliyozoeleka ambayo yanachelewesha kupata mtoto kwa wakati – Na jinsi ya kuyaepuka!

 

  • Mambo 7 ya kufanya na kuepuka, yatakayofungua uelewa wako kuhusu Afya yako ya Uzazi.

 

  • Maswali 4 muhimu ya kujiuliza kabla ya kuanza kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango.

Bado sijamaliza.

Kama utafanya maamuzi ya haraka sasa hivi, utapata hiki kama pongezi ya kujali afya yako…

UTAPATA BURE PROGRAM BINAFSI YA UZAZI Kwa Mwezi mzima Kama utafanya maamuzi sasa hivi.

Lakini…

Ofa hii inapatikana kwa watu 50 tu wa kwanza watakaowahi, na watapata Punguzo la Gharama za Dozi nzima ya FIWEMU Herbs.

Ndio maana ni hupaswi kabisa kuchelewa kufanya maamuzi ili uweze kuwa sehemu ya watu hawa 50 wa mwanzo!

Mpaka umefika hapa, ninaamini unatamani sana kupata mabadiliko (Kuna watu wengi wameshindwa kusoma mpaka mwisho ujumbe huu).

Unafahamu kabisa unahitaji FIWEMU Herbs na Package yake yote ili kuipata Furaha unayoitafuta kwa muda mrefu – Ya kupata mtoto na wewe kuitwa MAMA!

Nafahamu utakuwa unajiuliza swali hili…

Gharama yake itakuwaje?

Hii ndio sehemu itakayokufanya usisimke mwili mzima, kwa sababu ya kile ninachoenda kukupatia ndani ya sekunde 10 zijazo.

Gharama za package yote ya FIWEMU Herbs na Program zake ni Tsh 650,000/= tu!

Lakini, kwa sababu tunafahamu na kutambua fedheha na maumivu unayoyapitia, na tuna nia ya dhati ya kukusaidia…

Hatuwezi kukupa Package hii kwa Tsh 600,000/=

Wala hatuwezi kukupa package hii kwa Tsh 550,000/=

Hata kwa 500,000/= bado hatuwezi kukupa pia!

Tunatamani sana upate Furaha ya moyo wako na kurudisha heshima yako kama Mwanamke na kupewa hadhi ya Kuitwa Mama…

Utapata Package Yote ya FIWEMU Herbs Kwa Tsh 450,000/= tu! (Okoa Tsh 200,000/= Nzima!)

Subiri Kwanza…

Kwa sababu Kauli Mbiu yetu ni Afya Bora ni Mtaji, na tunadhamira ya kukusaidia kuwa na mtaji mzuri wa Afya ya Uzazi na kuondoa aibu na dhihaka unayoipitia kwa sababu ya kushindwa kupata Mtoto…

Tunakuruhusu Kulipia kwa Awamu 3 ndani ya Miezi 3.

Kumbuka, hii ni OFA Maalumu kwa watu 50 tu wa Kwanza! Baada ya hapo utapata Package nzima ya FIWEMU herbs na Program zake kwa Tsh 650.000/= Kwa miezi 3 (Badala ya Tsh 450,000/=!).

Unaweza Kuanza Safari yako ya Kuitwa Mama sasa hivi, kwa kulipia Awamu ya Kwanza ya Dozi yako.

Sikiliza…

Hupaswi kabisa kuacha fursa hii ikupite ukiwa unaona!

Kama umepoteza muda na pesa nyingi ili kupata suluhisho bila mafanikio, bado utaendelea kupoteza zaidi kama usipofanya maamuzi sahihi sasa hivi.

Hujakutana na ujumbe huu kwa bahati mbaya.

Hii ndio Package pekee unayohitaji sasa hivi ili kubadili hali yako kwa Asilimia 100. 

Tunaamini hivi kwa sababu tumesaidia zaidi ya Wanawake 500 kutoka Mwaka 2015 mpaka leo, kutoka katika huzuni, fedheha na uchungu wa Kutafuta mtoto.

Usiseme

Sema

“Inawezekana…”

Ninaamini kabisa kwamba FIWEMU Herbs ndio mkombozi wako pekee wa kurudisha uwezo wako wa kubeba Ujauzito na kukupa Heshima ya kuitwa Mama ambayo umekuwa ukiitafuta kwa muda mrefu. 

Na niko tayari kudhibitisha hilo kwa kukupa Guarantee hii…

Chukua Nusu dose ya FIWEMU Herbs na uitumie kwa siku 30 tu. 

Kama usipopata na mabadiliko yoyote, fika ofisi yetu iliyokaribu na mkoa ulipo, na tutakupa Dose iliyobaki BURE – Hakuna Maswali utakayoulizwa.

Kama hiyo haitoshi, tutaendelea kukupa Program ya Afya ya Uzazi BURE kama sehemu kukushukuru kwa kuamini katika Huduma zetu.

Hii ni Ofa ambayo hauna cha kupokeza kabisa! 

chukua simu yako na uwe sehemu ya watu 50 wa Kwanza watakaopata OFA hii bila kupoteza muda.

Wahi sasa, kwa sababu mpaka sasa zimebaki nafasi 20 tu!

PS: Hebu fikiria unaamza miezi 3 kuanzia sasa, ukianza kusikia dalili za awali za ujauzito kama ilivyokuwa kwa Lightness. Inawezekana kabisa, wala sio jambo la kuendelea kuliwaza na kukunyima Furaha. Unachopaswa kufanya na kuchukua hatua sasa hivi na kupata FIWEMU Herbs na Package zake. Wahi sasa hivi ili upate na program yako ya Afya ya Uzazi kwa Pamoja. Miaka 2 baadae utajishukuru na kujipongeza sana kwa kufanya maamuzi sahihi.

Hey bado upo Rafiki yangu?…

Basi, nina uhakika utakuwa unajiuliza Maswali haya ili kupata UHAKIKA zaidi wa Dawa na Matibabu yetu… Si ndio?

  1. Je, Ofisi zenu ziko wapi?

Jibu: Tunapatika;

  • Dar es Salaam – Ubungo Riverside
  • Iringa – Kihesa, njia Panda ya Mtwivila
  • Mbeya – Soweto
  • Kigoma Mjini – Karibu na Jengo la Zanzibra Lodge
  • Kasulu – Kigoma – Karibu na GTZ
  • Sumbawanga – Karibu na Ligunga Lodge

      2. Namba zenu za Mawasiliano nazipataje?

     3. Je, nikifanya malipo nitapataje Package yangu?

Jibu: Unaweza kufika Katika Ofisi zetu katika Mkoa Tajwa hapo juu. DELIVERY ni Tanzania nzima Kama upo katika mkoa ambao hatuna ofisi.

     4. Nitapata Package yangu baada ya Muda gani nikifanya malipo leo?

Jibu: Kama upo katika Mikoa Tajwa hapo juu, utapokea Package yako ndani ya saa 1 ukifika ofisini au ndani ya masaa 6 kama utahitaji kufanyiwa delivery. Kama upo mkoa ambao hatuna ofisi, utapata package yako ndani ya masaa 24.

    5. Ninaweza Kuwafuatilia Mtandaoni?

Jibu: Ndio! Unaweza kujifunza kila siku kupitia Kurasa zetu Mtandaoni Kupitia username @lupimoclinic_

© Copyright 2025 Lupimo Sanitarium Clinic